Contact Information

Theodore Lowe, Ap #867-859
Sit Rd, Azusa New York

We Are Available 24/ 7. Call Now.


#TufaniInapovuma #lulufungo #sovmusic

From Tufani Ep

Wimbo huu unatukumbusha kuwa karibu na Yesu maana yeye ndiyo kiongozi wa maisha yetu na msaada wetu
Wimbo huu ukafanyike Baraka ndani yako

© Sov Music
Singer LULU FUNGO
Music By – Sov Music
Produced By – Prince Touches
Mixed By – Prince Tounches

Lyrics
Tenzi Za Rohoni Namba (117)
Verse

1. Tufani inapovuma
Sana moyoni mwangu,
Huona pa kujificha
Mkononi mwa Mungu.

Chorus

Hunificha, hunificha
Adui hatanipata,
Hunificha, hunificha,
Mkononi mwake.

2. Pengine kuna taabu
Yanisongeza kwake;
Naijua si hasira,
Ni ya mapenzi yake.

3. Adui wakiniudhi
Nami nikisumbuka,
Mungu atavigeuza
Vyote viwe baraka.

4. Niishipo duniani
Ni tufani daima,
Anilindapo rohoni
Nitakaa salama.

———– END ———–

Powered By Sound Of Victory (S.O.V)
https://bit.ly/2XuJqQN

SOCIAL NETWORKS
INSTAGRAM https://bit.ly/3AmuphP
FACEBOOK   https://bit.ly/3lznQ5G
EMAIL    http://Lulufungo99@gmail.com
For Booking
           ⬇️
soundofvictory1@gmail.com
#LOVE | #LIKE | #SHARE

Neno La Mungu
September 18, 2021 at 12:52PM

Share:

administrator

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *